Maarifa – Nakutunza Inaruhusiwa Lyrics ft. Madee

Home Forums General Maarifa – Nakutunza Inaruhusiwa Lyrics ft. Madee

This topic contains 0 replies, has 1 voice, and was last updated by  Editor 3 weeks, 3 days ago.

Viewing 1 post (of 1 total)
 • Author
  Posts
 • #679321

  Editor
  Keymaster

  Maarifa ft. Madee – Nakutunza Inaruhusiwa Lyrics

  Watch Lyrics Video:

  utachagua sasa
  kukoma au kukomaa
  Ba finest mtoto wa Baba (Maarifa)

  aah
  hawaulize habari ni gani
  kwa kuwa tayari wanafaa wahabari ni nani
  habari maarifa, hatari kabisa
  ata muwe muogopevu
  wapo ambao wanaonielewa mpaka hawajielewi

  kuhusu kwazo kibaa na kwazo kitaa nikwambie jamaa
  maisha yazingua sa vitu nichagulie silaha
  kuhusu timamu, mi timamu ila bado hawajajua watu
  hata umvishe gamba mjusi hageuka kuwa chatu

  we funga, si wanakufungia, we funga
  ni Mungu tu, atanyoosha we kunja
  niskize genius, alafu nielewe
  shida zaeza kumyeyusha hadi barafu wa moyo

  nimejipanga, mke nitampiga na upande wa kanga
  ukiwa mnafiki inakuhusu upande wa panga
  na wamesanda, ni upande michaa alafu ugande panga
  na hii ni noma ka umechepuka na mke wa mganga

  yes yes yooh
  nakutunza inaruhusiwa
  twende(nakutunza inaruhusiwa)
  yes yes yooh
  nakutunza inaruhusiwa
  sema(nakutunza inaruhusiwa)

  yes yes yooh
  nakutunza inaruhusiwa
  twende(nakutunza inaruhusiwa)
  yes yes yooh
  nakutunza inaruhusiwa
  sema(nakutunza inaruhusiwa)

  ni mchapa kazi mwenye kazi ya kuchapa
  nachapa ila si kila kazi, kuna kazi za kuacha
  si umenipata?(oooh)
  kila kazi utadharauliwa (aha)
  so usiye na kazi, kila ukibuy utaparamiwa
  mi ni msafi, pilka za dharau jigamso
  pia ma’ pilka michoro vigaso
  nyi nyie hapo shikeni mapembe na mtang’oa ng’ombe
  hamwongei fit , leo mwanaharamu unafunua kombe

  niko vizuri kwa window na mizuri mitindo
  wanawake hawana msaada ka kivuli cha fimbo
  nakaza misuli mashuhuri, si umenipata vizuri
  acha niwazike tu, maana maiti haichagui kaburi

  maa we
  hii ni moto na fikra zake na hii iko moja
  tamu sichana na bikra yake
  wanawake wa sasa wakiamua bila sababu ila watakonda
  wako kama makwapa yaani wananuka bila ya kidonda

  yes yes yooh
  nakutunza inaruhusiwa
  twende(nakutunza inaruhusiwa)
  yes yes yooh
  nakutunza inaruhusiwa
  sema(nakutunza inaruhusiwa)

  yes yes yooh
  nakutunza inaruhusiwa
  twende(nakutunza inaruhusiwa)
  yes yes yooh
  nakutunza inaruhusiwa
  (eeh babu we nakutunza inaruhusiwa)

  habari ni hii , kwani nyinyi mlitarajia nini
  mimi nakamata mikwanja pale wanapokamatia chini
  wataniambia nini? hata wakirudi wakajipange
  mimi nitavuta hela si wameamua wavute bangi

  waleta sepeku mapepe
  wakwachu wa kwetu walete
  wasije sababisha maseke
  ukawakundisha mateke

  wapo wanafahamu hii karibu ukae
  na ili ujue uchungu wa mwana, jaribu uzae
  aibu ukishadharaulika, hauwezi tembea na zana
  masai tembea na rungu
  vicheche tembea na bwana
  ili upate uja uzito alisema songa bwana
  ni mwendo tu,
  msiwe mnachonga chonga watu
  wanataka zifanye na wameshindwa kuongelea
  wamevunja daraja na wanashindwa kuogelea
  na ka kuongea,
  ongeeni mpaka mtajuta kwetu
  kwani mwizi hapigwi anasemwa anakufa

Viewing 1 post (of 1 total)

You must be logged in to reply to this topic.