Home Music Nay Wa Mitego Mbele Kwa Mbele Lyrics

Nay Wa Mitego Mbele Kwa Mbele Lyrics

Nay Wa Mitego(Mr Nay) – Mbele Kwa Mbele Lyrics

Watch and read lyrics below:

Pwazee wa kupima oili
siku hizi nyama tunafunga kwenye foili
(Yamotoo)
kale ka mchezo hakana ubaili
maana kwenye baridi kananipanga mi
(kajotoo)

chapa mwendo, bwaga manyanga
pesa ya Simba leo nabet Yanga
kisanga, majanga
vita vya bunduki we unakuja na panga

na utamu tobo we ni kutoboa
mashine haisagi na kukoboa
kisu cha kukata dodo nishakinoa
maana sitomaliza kwa kudonoa

aah slow down punguza pupa
huyu mpe yule snitch tunamruka(fireburn)
rasta bangi , mchaga duka
Bi Faya hataki kulinda siku hizi anataka kusuka

mbele …sitaki mbele
mbele …sitaki mbele
mbele …sitaki mbele
mbili kwa mbili

SEE ALSO:  Dudu Baya ft. Rayvanny Konki Lyrics & Video

tuko kisasa huendi kwa manati
unalia njaa wenzako mambo safi
uki overtake tunavuta shati
eti umefilisika kisa pale kati

hutaki kuoga why uvue nguo?
ukitaka lala nnje patiana funguo

na utamu tobo we ni kutoboa
mashine haisagi na kukoboa
kisu cha kukata dodo nishakinoa
maana sitomaliza kwa kudonoa

mwendo wa chuma na cheche
uoga akiteta
nuna wacheke(wanokoo)

mbele …sitaki mbele
mbele …sitaki mbele
mbele …sitaki mbele
mbili kwa mbili

wa amani amekama lake
mbele kwa mbele
mvuvi sio lazima uvue shati
mbele kwa mbele
unauliza utatupata wapi
mbele kwa mbele
ukilegeza tunakaza nati

mbele,mbele
Free nation
mbele,mbele…

aaah aaah aaah …
aaah aaah aaah …(huoo)
aaahh…umekata