Below is a lyrics to Papa Dennis new song titled Umeniwasha, listen and read lyrics below:

[Verse 1]
Kama ni mganga fundi (Mganga fundi)
Kani bandika gundi (Kwa gundi)
Sio ya kazi tega kundi (ohh)
Usiku nakesha kigundi
Yea aahh

Nakuona Nakuona Nakuona
Hata niki nikifunganga macho
Napona napona napona
Kwa tiba ya sindano lako
Na nisipo kuona (Ehh)
Sioni raha (Sioni raha)
Na nisipokusikia
pressure inapanda inashuka

[Chorus]
Umeniwa (Ehh)
Umeni washa (Na si ji)
Ele wi
Umeniwa (wa)
Umeni washa (Na si ji)
Ele wi
Umeniwa (Ehh)
Umeni washa (Na si ji)
Ele wi
Umeniwa (Wa)
Umeni washa
Kwako siji elewi

[Verse 2]
Umenilisha nini sijielewi
Umeni pa nini
Kwako mi ni Chizi
Sijitambui
Si se mi sisikii
Nimekua toy umenibambanya
Popote uendapo nitakusakanya
Akili umemimina kama savanna
Mimi nawewe tushaanza fanana
Na nisipo kuona

Sioni raha
Na nisipokusikia
pressure inapanda inashuka

[Chorus]
Umeniwa (Ehh)
Umeni washa (Na si ji)
Ele wi
Umeniwa (wa)
Umeni washa (Na si ji)
Ele wi
Umeniwa (Ehh)
Umeni washa (Na si ji)
Ele wi
Umeniwa (Wa)
Umeni washa
Kwako siji elewi

[Verse 3]
Nakuona Nakuona Nakuona
Hata niki nikifunganga macho
Napona napona napona
Kwa tiba ya sindano lako
Na nisipo kuona
Sioni raha
Na nisipokusikia
pressure inapanda inashuka

[Chorus]
Umeniwa (Ehh)
Umeni washa (Na si ji)
Ele wi
Umeniwa (wa)
Umeni washa (Na si ji)
Ele wi
Umeniwa (Ehh)
Umeni washa (Na si ji)
Ele wi
Umeniwa (Wa)
Umeni washa
Kwako siji elewi

BROUGHT TO YOU BY TINAMAGAZINE.COM
Scroll Down Below To Drop A Comment And See More Interesting Posts:
SEE ALSO:  Top 10 Best, Luxurious Hotels In Nairobi, Kenya