Home Music Navy Kenzo Katika Lyrics ft. Diamond Platnumz Lyrics

Navy Kenzo Katika Lyrics ft. Diamond Platnumz Lyrics

Navy Kenzo Katika Lyrics

Below is a lyrics to Navy Kenzo’s new single titled Katika featuring Diamond Platnumz, listen and read Navy Kenzo Katika Lyrics below:

Lyrics Start:
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh

Ninamidadi ka ya ruba, eeh
Kibao kata kinyonga, ooh-naa
Mfukoni namavumba, weeeh
Nungu chini linasunta, eeeh

Yani bo bo bo bo boo
Kananikoshaga robo ooo
Yani nasimama de de de dee
Kakitingisha wo wo wo wo

Baby girl dance for me one time, seketoo
Miono feni kunata, seketoo
Tena jifunge na ngata, seketoo
Zile za kibao kata, seketoo..

Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh..

SEE ALSO:  Nay Wa Mitego Mbele Kwa Mbele Lyrics

Yani katot ni, kako ni ni nii
Kamekazika ni ngi ngi ngii
Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwii
Kana misifa shangi ngi ngii

Nilikavizia kitamboo, aah eeh
Loe kamenasa chambo, aah eeh
Nkapakia na mgando, aah eeh
Kajegeje karambo, aah eeh

Kana michenzo ngomani
Sindimba izombe
Nami nampatia za pwani
Muhogo wa jang’ombe

Yani e e e ee
Kananikoshaga roho o o o
Waga nasimama de de de dee
Kakitingisha wo wo wo wo

Oooh yaaah, ooh nadendeaa
Yani siwezi kutembea
Che cheme na checheme
Yani hadi na legea

Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh..

Maumivu naugulia
Mwiba ukizama nahisi mateso
Utamu mang’ang’ania versuri.online
Ndizi kwa nyuma Napata mchecheto

SEE ALSO:  Alikiba Kadogo Lyrics + Song Lyrics Video

Nakuna Nazi kwa mkongojo, aah eeh
Naunga mchuza wa sotojo, aah eeh
Una la rosti rojo rojo, aah eeh
Mikunjo Fulani wa bogojo, aah eeh

Kibao kata tenteme tenteme
Kilinge ni kuzama uchutame
Uwezi pata we mpaka usimame
Haichagui mwembamba mnene

Nikalaze kwa bed kitanda, kwa geto
Nikachezeshe samba, roketo
Na kalivo na body kinanda, sepetu
Tunguli zimenibamba, mobetto

Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh.

Watch Lyrics Video:

Navy Kenzo Katika Lyrics

END

Also Download Latest Song: PEKE Mp3 Download


CLICK HERE TO SEE THE LATEST SOUTH AFRICAN SONGS TO DOWNLOAD


Scroll Down Below To Drop A Comment And See More Interesting Posts: