Home News Tanzania Ben Pol ft. Harmonize – Why Song Lyrics

Ben Pol ft. Harmonize – Why Song Lyrics

Below is a lyrics to Ben Pol and Harmonize’s new song titles WHY.

Ben Pol Why Lyrics

[Verse 1 – Ben Pol]
Ndagu zangu napata
Malipo ya usaliti
Ya kupendwa lakini
Nikiwa Sipendeki
Sikujua machungu makali
Kihasi hiki

Hii dozi inatibu vilivyo
Me sitaki oh! Why?!
Umenifanya nawaza
Wangapi niliowatenda
Kila nikikumbuka
Najiona Mashamba
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata nisikitisha
Nastahili haya
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili Haya

[Chorus – Ben Pol]
Why why why why why
Ohh
Why why why why why
Ohh
Why why why why why
Ohh
Why why why why why
Ohh

[Post-Chorus]
(Silali Silali silali fofofo
Silali Silali silali fofofo)

SEE ALSO:  Germini Major – Issa Vibe Lyrics ft. Tellaman

[Verse 2 – Harmonize]
Ona Hayaniishi mawazo (ahh)
Nyingi zinajirudia (ahh)
Penzi lake ndio chanzo (ahh)
Mhh.. Malipo ni duniani
Ahela kuhesabiwa
Me nipo bado rehani
Nimejitela mwanamkiwa
Ehh mhh
Zile heshima kuniyenyekea
Nikamuona si chochote kwangu (Ahh)
Eti Mazima nikampotezea
Nilivyomaliza tu shida zangu (ahh)
Ukimuona mwambieni
Najiuguza najutia

Tena Najiona limbukeni
Yamenifunza ya dunia
Yale machozi ya sio na hatia
Yananisurubu (Majonzi)
Upwekwe najiinamia
Nimeisha tubu nisamehe

[Chorus – Ben Pol]
Why why why why why
Ohh
Why why why why why
Ohh
Why why why why why
Ohh
Why why why why why
Ohh

[Post-Chorus]
(Silali Silali silali fofofo
Silali Silali silali fofofo)

SEE ALSO:  Dully Sykes Ft Harmonize – Kadamshi

[Outro]
Ona hayaniishi mawazo (ahh)
Penzi lake ndio chanzo (aah)
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili haya

THE END!

SONG INFO

Release Date: September 12, 2018
Producer: Sheddy Clever
Songwriters: Rajab Abdul Kahali, Benard Michael Paul Mnyang’anga
Record Label: WCB Wasafi

Also Download Latest Song: PEKE Mp3 Download


CLICK HERE TO SEE THE LATEST SOUTH AFRICAN SONGS TO DOWNLOAD


Scroll Down Below To Drop A Comment And See More Interesting Posts: