Home Music Lava Lava – Single (Song, Lyrics & Video) New Song

Lava Lava – Single (Song, Lyrics & Video) New Song

We’ve got a new entry from the TZ bongo music zone, it’s Lava Lava Single. Download song, lyrics and video below.

Lava Lava comes in with another banging single titled Single, looks the WCB act is not ready to rest anytime soon, listen and get song below

Download Lava Lava Single Mp3

Lava Lava Single Lyrics

[Verse 1]

Miaka 23 Sasa

Ghalfa Nimekuaa

Si Mtoto Tena,

 

Nishapitia Mingi Mikasa

Na Nimeshajua

Lipi Baya Na Chema.

 

Wazazi Wanauliza Kutwa

Wanapanda Juu,

Eti Kabla Hawajakufa

Waone Wajukuu,

 

Na Mitandaoni Kukikucha

Mashabiki Uuu,

Mbona Unatuyeyusha

Vipi Shemeji.

 

[Bridge]

SEE ALSO:  Kabza De Small & DJ Maphorisa – Umtheto ft Nia Pearl & Daliwonga

We Ndo Kipenzi Cha Walibwende

Tunaona,

Insta Yako DM Imenona,

Unapendwa Madada Kila Kona,

Tunaonaaa,

 

Uwe Una Show Nachingwea Musoma,

Wanakuja Kwa Wingi Mbona,

Na Mabusu Unapigwa Tunaona

Tunaonaa, (Mpaka Unazimia Vipi)

[Chorus]

Nipo Single (Wanauliza Vipi)

Nipo Single (Wanauliza Vipi)

Nipo Single  (Eeh Wanauliza Vipi)

Nipo Single (Eeh Mbona Nipo Single)

[Verse 2]

Mashabiki Wengine Visirani

Hawana Dogo,

Wakikuandama Jamani

Kukuzodoa Zodo,

Etii

Muangalie Rayvanny

Yake Mikogo,

Anaringa Na Mama Jaydany

Hawataki Shobo.

Eeh

Na Wengine Huniambia

Jogoo Hapandi Mtungi,

Ona Wakina Rukia

Na Kina Mbosso Kirungi.

Achaga Masiara

Harmonize Anajimwaga Na Sarah

Jitahidi Tafadhali

Upate Yoyote,

Kaza Usiwe Fara

SEE ALSO:  Zlatan – This Year

Zichange Hizo Gwara Gwara

Mmiliki Hamissa Na Zari

Ka Chibu Dangote

[Bridge]

We Ndo Kipenzi Cha Walibwende

Tunaona,

Insta Yako DM Imenona,

Unapendwa Madada Kila Kona,

Tunaonaaa,

Uwe Una Show Nachingwea Musoma,

Wanakuja Kwa Wingi Mbona,

Na Mabusu Unapigwa Tunaona

Tunaonaa, (Mpaka Unazimia Vipi)

[Chorus]

Nipo Single (Wanauliza Vipi)

Nipo Single (Wanauliza Vipi)

Nipo Single  (Eeh Wanauliza Vipi)

Nipo Single (Eeh Mbona Nipo Single)

Watch lyric video below 

If you know the word lyrics to this song please CLICK HERE to Submit lyrics for us

Also Download Latest Song: PEKE Mp3 Download


CLICK HERE TO SEE THE LATEST SOUTH AFRICAN SONGS TO DOWNLOAD


Scroll Down Below To Drop A Comment And See More Interesting Posts: