We’ve got another Jam from Tanzania its Joh Makini Simwachii Mungu, download song, lyrics and & Video below.

Featuring Ben Pol, the Tanzanian rising act Joh Makini comes with a new one titled Simwachii Mungu

Download Mp3 Here

Download Music Video

Joh Makini Simwachii Mungu Lyrics

I love what am doing
A city in da houz
Yeah…Aaaah

{Verse 1: Joh Makini}
Some Other people miss the old me,
Some other people love the new me,
I thank god all these people don’t know me yet,
Class ni kitaa and they crown me yes,
Hata uwe shetani kunielewa mimi ni bless,
Mi sioni mganga wa kuniganga miiii.

Am on ma own lane
Am on ma own Plane

{Chorus: Joh Makini}
Nadili na sura zao zote Mbili kila duru
[ Simwachii Mungu ]
Si aliniumba kwa mfano wake Basi mi ni nuru,
[ Simwachii Mungu ]
Nadili na sura zao zote Mbili kila duru
[ Simwachii Mungu ]
Si aliniumba kwa mfano wake Basi mi ni nuru,
[ Simwachii Mungu ]

{ Ben pol}
Mana niko naye,
Sina cha kuogopa ah,
Na mi ni mwanae,
Kote mi napita ah
Mana niko naye,
Sina cha kuogopa ah,
Na mi ni mwanae,
Kote mi napita ah.

{ Verse 2: Joh Makini }
Ukinyonya haki yangu nayostahili,
Nasimama kukukabili,
Sikusomei albadili,
Wala siendi Mahakamani na mawakili.

Kanipa juu mamlaka sina fear kabisa,
Tuna kila taarifa, Utajiri maarifa.
Ni masihi mwafrika, Sime Si-Toshika.
Ukinirusha saa sita, Nakumurder saa tisa.
Nkikukosa masika, Nakuuzia za vuli.
Kama kaka nimekua, kwa madogo kivuli,
Shetani kwenye mnada, namuuza bei nzuri.
Mungu baba anajua, huyu mwanangu Ki-buri,
Nasimama kama Moja, Niongezee masifuri.
Depo ilikua ni daraja mbili, So njoo vizuri.

SEE ALSO:  New South African House Mix 2018 October By Kingmasbi

{Chorus: Joh Makini}
Nadili na sura zao zote Mbili kila duru
[ Simwachii Mungu ]
Si aliniumba kwa mfano wake Basi mi ni nuru,
[ Simwachii Mungu ]
Nadili na sura zao zote Mbili kila duru
[ Simwachii Mungu ]
Si aliniumba kwa mfano wake Basi mi ni nuru,
[ Simwachii Mungu ]

{ Ben pol}
Mana niko naye,
Sina cha kuogopa ah,
Na mi ni mwanae,
Kote mi napita ah
Mana niko naye,
Sina cha kuogopa ah,
Na mi ni mwanae,
Kote mi napita ah.

{ Verse 3: Joh Makini }
Yeah
Sipendi Mawazo Kupewapewa,
Na ndo mana mi sipendi bure,
Sipendi ukoloni hasa mkoloni mweusi,

Na ndomana joh mi siendi kule,
Ili tu mi nile,
Zile chuki zile,
Hunijui kivile,
Nyani haoni kundule,

You kiss ass na mnabaki na dhiki deile,
Na misa za kanisa mko siti za mbele,
Ni msasa nakuna kama kuna vipele,
Nami sa-sinakuchua kama Deutch-welle,

Wanasiasa hawamwachii mungu wanajipa madaraka,
Nyumba za ibada hazimwachii kukusanya sadaka,
Nami simwachii kujioa uswahilini kwenye taka,
Niko vitani kipande cha keki yangu nataka,

Am on my own lane,
Am on ma own plane.

{Chorus: Joh Makini}
Nadili na sura zao zote Mbili kila duru
[ Simwachii Mungu ]
Si aliniumba kwa mfano wake Basi mi ni nuru,
[ Simwachii Mungu ]
Nadili na sura zao zote Mbili kila duru
[ Simwachii Mungu ]
Si aliniumba kwa mfano wake Basi mi ni nuru,
[ Simwachii Mungu ]
{ Ben pol}
Mana niko naye,
Sina cha kuogopa ah,
Na mi ni mwanae,
Kote mi napita ah
Mana niko naye,
Sina cha kuogopa ah,
Na mi ni mwanae,
Kote mi napita ah.

SEE ALSO:  Nyashinski - Hello (Mp3, Lyrics & Video)

{Outro : Ben pol }
yee yeeee
yee yeeee
Oooh niko nae
niko nae …..

BROUGHT TO YOU BY TINAMAGAZINE.COM
Scroll Down Below To Drop A Comment And See More Interesting Posts: