Home Music Dayna Nyange – Salama

Dayna Nyange – Salama

We just received a new one from the Tanzanian music scene, it’s Dayna Nyange Salama, download song, lyrics and video below.

The rising Tanzanian Diva Dayna Nyange comes in with a new one titled
Salama, it’s alongside a music video. Stream and download video below.

Download Dayna Nyange Salama Mp3

Dayna Nyange Salama Lyrics

[Intro]
Here is another one
Oohh oohh

oohhh oohh
Oohh oohh

oohhh oohh
Laalalaa laalalaa

aahaahaa aahaahaa

[Verse 1]
Angalau ungesema Nijue
Maana bado sielewe sielewi
Kosa langu angalau nijue
Maana kweli sielewe sielewi
Silaumu ila mbona
Nilikupa na moyo wangu
Ni ghafra inauma eti leo we sio wangu
Sitaki kujalibu
Kuizoea hali hii
Inaniadhibu inaniumiza baba oohh
Kama ni jaribu
Mlango uwazi lipite
Karibu Ntakupokea baba ooohhh

SEE ALSO:  GqomFridays Mix Vol.105 By Dj Tempo

[Pre-Chorus]
Penzi limeshaota kutu
Tena limeshakuwa butu
Mbona umenishusha utu
Ona umetekwa na vitu

[Chorus]
Salama uku si salama
Aiyea aiye aiye (Bado siko salama)
Salama uku si salama
Aiyea aiye (Moyoni umeacha alama)

[Verse 2]
Me wa nchi kavu me wa majini
Hatuwezi kuongea
Nasikia unahongwa madini
Ntakupa nini sina mia
Umekuwa alwatani mjini hodari wa kutumia
Me bado nalala chini shuka koti uloniachia
Eti unifahamu tena utaki hata kuisalimia
Umeabadili namba ya simu eti nisije kukuharibia

[Pre-Chorus]
Penzi limeshaota kutu
Tena limeshakuwa butu
Mbona umenishusha utu
Ona Umetekwa na vitu

[Chorus]
Salama uku si salama
Aiyea aiye aiye (Bado siko salama)
Salama uku si salama
Aiyea aiye (Moyoni umeacha alama)


CLICK HERE TO SEE THE LATEST SOUTH AFRICAN SONGS TO DOWNLOAD


Scroll Down Below To Drop A Comment And See More Interesting Posts: