Home Music Christian Bella Ft. Werrason – Moyo (Mp3, Lyrics & Video)

Christian Bella Ft. Werrason – Moyo (Mp3, Lyrics & Video)

Another one from Tanzania by Christian Bella Moyo, download song, lyrics and video below

Featuring another artist Werrason, the rising East African star finally releases his April recorded single alongside a music video.

Download Christian Bella Moyo Mp3

Download Music Video Here

Christian Bella Moyo Lyrics

[Verse( 1 ) Bella]
Unadharau maumivu yangu utadhani wewe unamoyo ya mnyama A Heee!
Naunafanya kusudi moyo wangu kuupa majeraha Aah
Kutwa nalia mi napenzi langu na nikiwa na we siishi lalama,
Kadi ya chama narudisha upinzani umenizidi sera Aa,
Nilikua mvumilivu kama Punda kukubali kipigo kubebeshwa mizigo yote yote sawa aaaah,
Lakin sasa basi mi nimeshindwa nautua mzigo mapigo ya moyo hayako Sa aaa a nitaliwaza moyo

SEE ALSO:  Kabza De Small – Slight Guitar

[Chorus]
Moyo wangu ( Moyo ) x2
Moyo  wangu( Moyo ) x2
Moyo wangu ( Moyo ) x2
Moyo wangu uuu uuh

[Verse 2 Werrason]
Nimechoka nimeamua kukuacha fanya yako,
Na mimi nifanye yangu sina tatizo nawe,
Sitaki kukumbuka mateso niliopataa ubaki salama mi naenda zangu mtoto mzuri pasua kichwa aaa.
Yoko lingo nanga
Yoko zika ngathe
Yoza wanga wa mothema ada balobisele Papa,
Yakhayemo namu sote sote nakobela tunaive poleye yede na bonana Tanzania mameee

[ Bella ]
Kijipu kilianza kipele nikakidharau uu sikushiliki wivu kuhofia kidonda nitaumia A a ah kumbe,
Baada ya mpunga mchele nikavisahau mwisho wa kuni majivu najikuta nakonda nalia ya ah dunia a aa Ah,
Wapiganapo tembo ziumiazo ni nyasi nayajuaa ah Moyo wangu u u uuh,

SEE ALSO:  Bahati – Ndani Ya

[Werrason]
Mikono kaya napesa bolingo na mama na bana,
Rami hamisi Arobi maka mbamboti na suka ee,
Roshee bandu bapa na bholsi Yo bolingo na ngai yoko zika ngathe yoza wa mothema ada balobisele Papa,
Yakhayemo namu sote sote nakobela tunaive poleye yede na bonana Tanzania mameee

[ Bridge ]
Nilikua mvumilivu kama punda kukubali kipigo kubebeshwa mizigo yote sawa,
Lakini sasa basi mi nimeshindwa nautua mzigo mapigo ya moyo hayako Sa aa a nitaliwaza moyooo oo


CLICK HERE TO SEE THE LATEST SOUTH AFRICAN SONGS TO DOWNLOAD


Scroll Down Below To Drop A Comment And See More Interesting Posts: