Home Music Barnaba – Tuachane Mdogo Mdogo (Mp3, Lyrics & Video)

Barnaba – Tuachane Mdogo Mdogo (Mp3, Lyrics & Video)

A new entry from the East-African Music Scene coming from Barnaba Tuachane Mdogo Mdogo, download song, lyrics and video below.

The Tanzanian music star is here with another dope single, this will probably become a hit in no time. Titled Tuachane Mdogo Mdogo.

Listen and download below.

Download Barnaba Tuachane Mdogo Mdogo Mp3

Barnaba Tuachane Mdogo Mdogo Lyrics

[Verse 1]
Naspend Muda Navavanda,
Najinadi Kumbe Wenzangu Wanaramba,

Ebo
Kila Kitu Unatamba,
Wajigamba Waniona Brugagamba.

Nilipoteza Muda Na Ukaringa
Ukaniona Mjinga
Na Umeharibu Mipango,

Nilispend Muda Kuwa Chini
Ili Nikuwin
Umenitupa Ng’ambo.

[Bridge]
Kukupenda Sababu,
Moyo Umeupa Maumivu,
Hata Bila Sababu,
Moyo Umeupa Gadhabu.

SEE ALSO:  NuzuDeep – Creepy Feelings

Kukupenda Ndo Sababu Wanipeleka,
Mputa Mputa Wanipeleka,
Kukupenda Ndo Uwanipeleka,
Mputa Mputa Wanipeleka

[Chorus]
(Tuachane Mdogo Mdogo
Na Mi Nikuache Mdogo Mdogo
Ya Nini Marumbano Na Zogo
Tuachane Mdogo Mdogo ) x 2

[Verse 2]
Nahisi Nimeonewa Eh
Kwa Haya Niliofanyiwa Eh,
Penzi Langu Bembea Eh
Wamembea Wengine.

Shimo Mwenyewe Nilichimba
Ndo Linalonizika
Najiuliza Kwanini,

Mapenzi Yote Nilimpa
Angali Ya Kulizika
Baada Ya Nyama Ye Kaleta Maini.

[Bridge]
Kukupenda Sababu,
Moyo Umeupa Maumivu,
Hata Bila Sababu,
Moyo Umeupa Gadhabu.

Kukupenda Ndo Sababu Wanipeleka,
Mputa Mputa Wanipeleka,
Kukupenda Ndo Uwanipeleka,
Mputa Mputa Wanipeleka

[Chorus]
(Tuachane Mdogo Mdogo
Na Mi Nikuache Mdogo Mdogo
Ya Nini Marumbano Na Zogo
Tuachane Mdogo Mdogo)

SEE ALSO:  Costa Titch – Blessings ft AKA & Phantom Steeze

[Hook]
Kukupenda Ndo Sababu Wanipeleka,
Kutwa Kucha Wanipeleka,
Kukupenda Ndo Uwanipeleka,
Kutwa Kucha Wanipeleka

[Chorus]
(Tuachane Mdogo Mdogo
Na Mi Nikuache Mdogo Mdogo
Ya Nini Marumbano Na Zogo
Tuachane Mdogo Mdogo) x 2

Niliweka Malengo Nae
Ameharibu Mwenendo
Penzi Kalitia Pengo
Si Mung’unyi Siamini.

Also Download Latest Naija Amapiano Song: TROUBLE Mp3 Download


CLICK HERE TO SEE THE LATEST SOUTH AFRICAN SONGS TO DOWNLOAD


Scroll Down Below To Drop A Comment And See More Interesting Posts: