We’ve here from the East-African Music Scene Rayvanny Chombo, download song, lyrics and video below.
Rayvanny comes back with another top sound after a successful collabo with diamond platnumz.
Click Here To Download Rayvanny Chombo Mp3
Click Here To Download Music Video
Rayvanny Chombo lyrics
Watch lyric video below..
Read lyrics below
(ololololololo…)
Hehehe eh Vanny Boy, Vanny boy !
(ololololololo…)
Foundation, mkwanja
Nywele ya bei ya kiwanja
Ndinga mkwanja
Shopping mwendo wa kuchanja
Sponsor danga
Nichune komesha vilanga
Basi vimba tamba
(Pull up!) Wakikuchamba
[CHORUS]
Oooh lalalala
Cheusi mangala wa ganda
Oooh lalalala
Tukale sangara Wa Mwanza
Oooh lalalala
Nywele chotala kinanda
Oooh lalala
Geto papara misamba
Chombo, chombo, chombo
Kanakwenda na fashion
Chombo, chombo, chombo
Kanangozi ya lotion
Chombo, chombo, chombo
Party chumbani sebuleni
Chombo, chombo, chombo
Ntakapeleka ukweni
Macho yako malewa mie
Sigo mkalia nyongo
Pekecha pekecha
Ulindi ulimbombo
Mini wako ning’anga anie
Kama mbozi na kimondo
Nogesha nogesha
Pekere na kamongo
Oooh baby (baby)
Mwenzako nta dead ( we are dead)
Hizo fujo vituko chumbani
Ng’etuka binuka
[CHORUS]
Oooh lalalala
Cheusi mangala wa ganda
Oooh lalalala
Tukale sangara Wa Mwanza
Oooh lalalala
Nywele chotala kinanda
Oooh lalala
Geto papara misamba
Chombo, chombo, chombo
Kanakwenda na fashion
Chombo, chombo, chombo
Kanangozi ya lotion
Chombo, chombo, chombo
Party chumbani sebuleni
Chombo, chombo, chombo
Ntakapeleka ukweni
(ololololololo…)