Home Music AY – Microphone ft. Fid Q (Song, Lyrics & Video)

AY – Microphone ft. Fid Q (Song, Lyrics & Video)

It’s AY ft. Fid Q Microphone, download song, lyrics and video below

We’ve got a new one from the top East African act from Tanzania A.Y featuring another top act Fid Q on a beautiful joint called microphone.

Click Here To Get Song

Click Here To Get Video

AY Microphone lyrics

Verse 1:

Mtu mbaya,Zee!!Katili la Flows

Niko kwenye Microphone nakata tu Flows

Maujanja mwana nayo mengi ila nakeep tu Low-Key,

Yanayosemwa naact ka siskii

Kumbe na vyanzo vya habari kama KGB

ITV TBC BBC

Niko Protected kama Area 51

Ukitaka kunitavaa jiulize waja namna gani

Fani kwa Fani ama waja Gun kwa Gun

Man to Man ama twende Clan kwa Clan

Mic tamu kama PU-SSY CAT DOLLS

Ndio maana unaona sibanduki

Naspit tu flows

Huwezi fanikiwa kama una roho ya kwa nini mwanangu jiamini sambaza Upendo mpaka Baharini thamini cha mwenzako kama chako Ubaya wa nini haya ni maisha na hatuwezi fanana hata iwe nini

SEE ALSO:  The Godfathers Of Deep House SA – Everything 2018 August (Nostalgic Mix)

CHORUS:

Niko kwenye Microphone

Hata useme nini sitamani sioni

Verse 2:

Wanaingia CHAKA kama DEMUS na PLIERS watu wabaya wanapotema/ Wanaingia CHAKA kama DEMUS na PLIERS watu wabaya wanapotema/ Maaaaayn.. nawaona mnavyochonga.. mnavyoomba nije kupotea/ nitajenga NYUMBA YA TOBA kwa MAWE mnayonipondea / Nitawaombea kwa MWOKOZI ili HUSTLE ziweze wasaidia/ CHOZI lisafishe MACHO ili muweze kuiona njia/ mambo kwa SOKSI hatupekui kama MPOTO/ tuna MAPOZI.. sio lazima waujue mguu wa MTOTO/ KICHWA kina DONDA, MKAGUZI ni MKONO? yeaah/ WANACHONGA? piga NYUZI MIDOMO na UPUUZI nyea/ MAKUZI potea../ MICHUZI niliyo-LOOSE juzi rejea/ WANAKONDA na sio JUDY.. enyi MBUZI msiunguze MMEA/ JINYANYUE ili uvishinde VIZUIZI kama MBIZI elea/ JIJUE kama una hasira za MKIZI.. URITHI sio SHEA ( share ) / MASELA hatuna FEGI? Tunavuta hadi VICHUNGI/ unataka ULEVI? Kung’uta jivu kwenye TUNGI/ ?? ?? weekend dream.. ninaamka na BLUE MONDAY (in)stead/ na NET ya kustream ili FEI awacheki SANJAY & CRAIG••••

SEE ALSO:  Chad Da Don – Swimming ft. Priddy Ugly

CHORUS:

Niko kwenye Microphone

Hata useme nini sitamani sioni

Verse 3:

” Fiddy ni mgumu sana ” nina sumu mama.. hautaki bao?/ game ngumu? Hapana.. utadumu kama unawashkaga wadau/ na sio ubinafsi ikiwa sitaki haki yangu mie.. ibaki kati kama zawadi ambayo hauipati hadi uigombanie..

Flow zangu Remedy

/ Ngumu kumeza ka we ni wack Mc

Nasafiri -sha

Madini kutumia swahili

? Door to Door

? Naachia vitu more

? Don’t try this at home

? Wasije kusema you’re no more

Ndoto haziwi mpaka usingizi ukiukata/

na hakuna kitu rahisi kupata siku hizi kama kudata

Flames zinawaka kichwani ka niko Allepo

*U better runnnn…(Run Muhfucka Run) au ikibidi vipi tusettle

SEE ALSO:  Black Coffee – Ndodemnyama ft. Samthing

Unashangaa? Shangaa meli kubwa bandarini/ lakini ni ndogo iwapo katikati ya bahari safarini

Niko Makini pia napita makini njia

Na si za Makini KIA “JUCHE” ka North Korea

CHORUS:

Niko kwenye Microphone

Hata useme nini sitamani sioni

CREDITS:

AY Featuring Fid Q

Microphone

Produced By Hermy B

B Hitz Studio

Destro

Sent in by the AY team


CLICK HERE TO SEE THE LATEST SOUTH AFRICAN SONGS TO DOWNLOAD


Scroll Down Below To Drop A Comment And See More Interesting Posts: