Home Music Amber lulu – Tobo ft. Dee Pesa (Get Song, Lyrics & Video)

Amber lulu – Tobo ft. Dee Pesa (Get Song, Lyrics & Video)

It’s a new one from Tanzania, it’s Amber lulu Tobo, get song, lyrics and video below

After several controversies on her personal life this past months the East-African Diva comes back with an amazing piece of music for your ears, featuring Dee Pesa Amber Lulu titles this TOBO.

Click Here To Get Tobo

Dee Pesa Amber lulu Tobo Lyrics

[Hook]
Wanataka Tobo Wajulikane,
Ngoma Zikiihit Tusumbuane,
Tukutane Street Tuvimbiane,
Tobo Li Kihit Unapata Money.

[Verse 1]
Kuna Tobo La Gigy Na Tobo La Tunda,
Ingia Kwa Fashion Upewe Tobo Na Kadinda,
Tobo La Nay Mondi Kasukuma,
Ile Muziki Gani Ikapigwa Mpaka Ikavuma.

SEE ALSO:  Get Navy Kenzo – Fella (Song, Lyrics, Video)

[Chorus]
Tobo Tobo
Tobo Tobo
Tobo Tobo
Tobo Tobo

Wanataka Tobo Wajulikane,
Ngoma Ikihit Tusumbuane,
Tukutane Street Tuvimbiane,
Tobo Li Kihit Unapata Money

[Verse 2]
Ile Makini,
Wewe Na Mimi,
Unataka Tobo We Jiamini,
Shida Za Nini,
Ile Makini,
Unataka Tobo We Jiamini.

Kuna Tobo La Kiba Na Tobo La Mondi,
Lipi Tobo Zuri Linakufaa Underground,

Tobo La Mond Siku Zote Ni La Zari,
Tobo La Salamu Kuendeshea Magari.

[Chorus]
Tobo Tobo
Tobo Tobo
Tobo Tobo
Tobo Tobo

Wanataka Tobo Wajulikane,
Ngoma Ikihit Tusumbuane,
Tukutane Street Tuvimbiane,
Tobo Li Kihit Unapata Money

[Verse 3]
Harmonize Kampa Tobo Harmorapa,
Tobo Alilompa Kila Mtu Analitaka.

SEE ALSO:  Wordz – Through The Grapevine

Kuinua Vijana Ndo Sera Ya Chadema,
Ili Wafanikiwe Wakataka Tobo Kwa Wema.

Matobo Makubwa Mpaka Naogopa,
Kama Tobo La Mo Na Bakhresa.

Likizibwa Huwa Unapata Stress,
Kama Tobo La Zila Tumika Na Billnass.

[Chorus]
Tobo Tobo
Tobo Tobo
Tobo Tobo
Tobo Tobo

Wanataka Tobo Wajulikane,
Ngoma Ikihit Tusumbuane,
Tukutane Street Tuvimbiane,
Tobo Li Kihit Unapata Money.

Also Download Latest Naija Amapiano Song: TROUBLE Mp3 Download


CLICK HERE TO SEE THE LATEST SOUTH AFRICAN SONGS TO DOWNLOAD


Scroll Down Below To Drop A Comment And See More Interesting Posts: