Home Music Pitson – Mtu wa Maana (Song & Lyrics & Video)

Pitson – Mtu wa Maana (Song & Lyrics & Video)

We give to another Tanzanian music and it’s Pitson Mtu Wa Maana, get song, lyrics and video below.

DinPix Africa and Pitson Music Ministries, in association with Ripple Productions presents Mtu Wa Maana featuring Naomi Mburuh as ‘Yellow Yellow’
Audio – Teddy B
Vocals arranged – Bire the Vocalist

Get Mtu Wa Maana Here

Click Here To Get Video

Lyrics For Pitson Mtu wa Maana

Nilitaka nijulikane mie iyee
Niongee waniskie, tushindane nishinde
Na nilitaka nikuwe na sifa aa ah
Munasimama punde nikifika (alikuwa na maana)
Na nilitaka niwe na dereva mtu wa kunifuata
Kumbe ba…
Joto ikizidi nipepetwe, nikijam nichekeshwe
Mambo haya yote (alikuwa na maana) .

SEE ALSO:  DJ Muzik SA – George ft. Cenzo

Mtu wa maana (mtu wa maana), ndiye Yesu
Kitu cha maana (kitu cha maana), kumpenda Yesu
Ndiye ndiye Yesu .

Nilipata rafiki adui, nikiwa nazo wazuri
Nikikosa hawanitambui (hawakuwa wa maana)
Nilitaka mchana yellow yellow yellow kumaanisha ipo
Sikutaka wello (alikuwa wa maana) .

Mtu wa maana (mtu wa maana), ndiye Yesu ndiye Yesu
Kitu cha maana (kitu cha maana), kumpenda Yesu
ndiye Yesu , ndiye .

Mtu wa maana (mtu wa maana), ndiye Yesu ndiye Yesu
Kitu cha maana (kitu cha maana), kumpenda Yesu
ndiye Yesu , ndiye


CLICK HERE TO SEE THE LATEST SOUTH AFRICAN SONGS TO DOWNLOAD


Scroll Down Below To Drop A Comment And See More Interesting Posts: