Home Music Download Bahati Futa ft Mbosso (Song, Lyrics Video)

Download Bahati Futa ft Mbosso (Song, Lyrics Video)

From the Tanzanian music scene we give you Bahati Futa ft Mbosso, download song, lyrics video down below.

The sensational act, Bahati, whose real name is Kevin Mbuvi, has recently been attracting a lot of attention with the insanely high quality of the contents he’s been pushing out lately. Recent records such as “Ten Over Ten”, “Nasubiri Nini” on which he featured Tanzanian Bongo Flava sensation, Aslay, as well as his collaboration with Rayvanny on “Nikumbushe” and, “Ching Ching” which is still very much trending.

It is evident that Bahati is a source of inspiration to a lot of his fans in Kenya and beyond with his style of presentation, his candid and relatable lyrics and his composure, all of which he combines together as he collaborates with Mbosso on “Futa”.

SEE ALSO:  DJ Mphyd & Tipcee – Inkonjane ft. DJ Tira & Dladla Mshunqisi

And Mbosso, who opened the song with his smooth dazzling voice sings in an appealing form like we have seen before on “Nimekuzoea”, “Picha Yake”, “Alele” and the mesmerising “Nadakezwa”.

The duo tells us that things might be hard now, don’t stay down; get up, this isn’t the end of the way. Andi they perfectly drive home the point of the Shallzbaro and Lizer Classic-produced song with an apt music video.

Click Here To Download Bahati, Mbosso FUTA mp3

Click Here To Download Video

Bahati x Mbosso – Futa Lyrics

(MBOSSO)
Uuhuu uyee uuwewe
yale yale ya ujana maji ya moto
nikaukurupukiaa
leo hii wawili watoto
wanaiangaliaa
napambana sana na changamoto
kuwafutiaa
nikikosa mzazi mwenzangu
anakuja moto matusi kunshushiaa
natumia nguvu kutafuuta
jasho laloesha shatii
chini nikiziba ufa
juu linaanguka bati
zile ng’ong’o kwa ndugu jama
zishaishaga mazima (mie)
miondoondo mlezi wa wana
lakini zali sinaa (miee)

SEE ALSO:  Khumz – Onisa ft. Goldmax

ama sauti yangu kwa mungu baba (haisikiki)
tuseme dua zangu mbingu ya saba (hazifiki yoyo)

(chorus)
futa chozi futa (husiulize nalia nini)
futa chozi futa (naisi riziki yangu imepigwa pini)
futa chozi futa (iyeee lele lelile)
futa chozi futa (mungu baba nione)

(BAHATI)
nikiwa kazini akili zote zipo nyumbani
nikiwa nyumbani wakusalishe sina amani
nakazana sana kimziki
kweli napambana kubahatisha riziki
wanaomba mabaya na roho za choyo
na ndugu zangu wakiwemo
napata fupa mi kibogoyoo
mungu ameninyima meno
nikitazama watoto wangu
nje ya ndoa wamezaliwa
kwenye imani ya dini yangu
wanasema nishakosea

ama sauti yangu kwa mungu baba (eeh)
tuseme dua zangu mbingu ya saba (hazifiki baba eh)

SEE ALSO:  Black Coffee – Any Other Way ft. Zhao

(chorus)
futa chozi futa (kuna muda naishiwa nguvu)
futa chozi futa (elimu sina kichwa mbumbuu)
futa chozi futa (naganga ganga njaa)
futa chozi futa (eh mungu wangu lingi langu fungu)


CLICK HERE TO SEE THE LATEST SOUTH AFRICAN SONGS TO DOWNLOAD


Scroll Down Below To Drop A Comment And See More Interesting Posts: